eBible.org | Translations | Territories |
Language: [swh] | Kiswahili | Kiswahili |
Title: | Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ | Kiswahili Contemporary Version |
Abbreviation: | ONEN | ID: SWHBIB or swhonen |
Copyright © 2018 Biblica, Inc. |
Swahili: Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (Bible)
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
—Genesis 1:1
Zaburi ya Daudi. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
—Psalm 23:1
Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.
—Matthew 6:33
“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
—John 3:16
Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenda kazi pamoja na wote wampendao, katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
—Romans 8:28
copyright © 2018 Biblica, Inc.
Language: Kiswahili
Translation by: Biblica, Inc.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
Pictures included with Scriptures and other documents on this site are licensed just for use with those Scriptures and documents. For other uses, please contact the respective copyright owners.
Note that in addition to the rules above, revising and adapting God's Word involves a great responsibility to be true to God's Word. See Revelation 22:18-19.
2021-04-12
Last updated 2021-04-12